Baada ya wasanii wengi wa kizazi kipya na waambiji wa nyimbo za Bongo flava kuachia nyimbo zao katika platform mbalimbali na kuifunga wiki
Maua sama yeye aja na kibao chake kipya kinkwenda kwa jina la ''I don't care'' nyimbo hii kwa sasa inapatika katika mitandao yote inayomilikiwa na mwana dada huyu unaweza kupita katika mitandao yake ya kijamii ili kuweza kukisikiliza kibao hicho kipo safi sana na kina ujumbe ndani yake

0 Comments