Uwanja wa Mkapa kama unavyotambulika kwa Mkapa hatoki mtu haujamuacha mtu salama ni kufatia kipigo kikali cha Taifa Stars timu ta Taifa ya Tanzania baada ya kuibwagiza timu ya Taifa ya Burkina Faso kwa jumla ya mabao 2-0
Taifa stars ikitawala kwa nafasi kubwa, mbele ya mashabiki walio kuwa wakishangilia kwa sauti kubwa sana na kuonesha mapenzi na kujiamini kwa timu yao kuwa lazima itapata matokea katika kundi B
Bao la kwanza likifungwa na Abdul Sopu muda mchache kabla ya mapumziko,Bao la pili likifatiwa na kutiwa kimiyani na Mohamed Hussein likitiwa kimiyani kwa kichwa dakika ya 71, na kuifanya Burkina Faso kuto kufurukuta tena

0 Comments