Header Ads Widget

Kuhusu sisi

Karibu Reality of Africa

Reality of Africa ni jukwaa linalolenga kuonesha na kuelimisha kuhusu uhalisia wa maisha barani Afrika. Tunashughulika na kushirikisha maudhui yanayohusu siasa, uchumi, jamii, utamaduni, michezo na maisha ya kila siku ya Waafrika.

Dhamira yetu ni:

Kutoa taarifa sahihi na zenye kuaminika.

Kuonesha uhalisia wa maisha ya Waafrika kutoka mtazamo wa ndani.

Kuinua sauti za jamii na kuonyesha hadithi ambazo mara nyingi hupuuzwa.

Tunajivunia kuwaletea maudhui ya asili, yenye ubora wa juu, na yenye kuzingatia maadili, huku tukihakikisha kila msomaji anapata thamani kupitia kile anachosoma.

Kwa kifupi, Reality of Africa ni kioo cha maisha ya Mwafrika.

Post a Comment

0 Comments