Header Ads Widget

JICHO LA NEWCASTLE NA MAN UTD LAMUANGALIA JACKSON


Machester United na Newcastle zamatanzama mshambuliaji wa wa Chelsea na Senegal Nicolas Jackson,24,kama mchezaji mbadala iwapo watamkosa mshambuliaji wa RB Leipzig raia wa Slovenia,Benjamin Sesko,22.

Aston Villa pia wanamtaka mshambuliaji wa Manchester United ya Uingeleza Ollie Watkins 29, iwapo Mashetani wekundu watamkosa kumnunua Sesko.

RB Leipzig wamewasiliana na Liverpool kuhusu uwezekano wa kumsajili kiungo wa kati wa Uingeleza Hervey Elliott,22, huku Reds wakitaka pauni millioni 40 pamoja na chaguo la kumnunua tena au zaidi ya pauni 50 bila ya chaguo la kuweza kumnunua tena 

Man U imekataa ofa tano kutoka vilabu vya ligi kuu England na Italia kwa ajili ya beki wa Uingeleza Harry Maguire,32,huku Juventus wako tayari kumuuza beki wa kati wa Uingeleza Lloyd Kelly,26 na kumsajili mlinzi wa Arsenal Jakub Kiwior,25 kama mbadala wake
 

Post a Comment

0 Comments