Mchakato wa uteuzi wa Chama Cha Mapinduzi umeibua hisia kali baada ya majina yaliyotangazwa kuonesha sura mpya mabadiliko yasiyotarajiwa.
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ambaye alitarajiwa na wengi kuendelea kushika nafasi kubwa, ameangushwa katika mchujo huo na kusababisha mjadala mikubwa mitandaoni na mjini.
Kwa upande mwingine,msanii na kiongozi wa kijamii kutoka Kigoma,Alimaarufu kama Baba levo,ameteuriwa kuwakisha chama hicho mkoa wa kigoma katika uteuzi huo pia kuibua matumaini mapya kwa vijana kuona nafasi zao ndani ya chama hicho kikongwe.
Vilevile Paul Makonda ambaye kwa muda mrefu alikuiwa kimya katika tasnia ya kisiasa ameibuka tena akipenya ndani ya uteuzi huo,hatua inayoashiria kuwa bado ana nafasi ya ushawishi mkubwa.
Hii hapa orodha kamili ya ya walio teuliwa kupeperusha bendela ya Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa kwa mkoa:
ARUSHA
Paul Makonda-Arusha Mjini
Dk Johannes Lukumay-Arumeru Magharibi
Daniel Awack Tlemah-Karatu
Dk Steven Kiruswa-Longido
Joshua Nassari-Arumeru Mashariki
Isack Copriao-Monduli
Yannick Ndoinyo-Ngorongoro
DAR ES SALAAM
Haran Nyakisa Sanga -Kigamboni
Angellah Kairuki -Kibamba
Pro Alexander Kitila Mkumbo -Ubungo
Mariamu Kisangi -Temeke
Abdallah Chaurembo -Chamanzi
Kakulu Kakulu -Mbagala
Geofrey Timoth -Kawe
Abasi Tarimba -Kinondoni
Mussa Azzan Zungu -Ilala
Jerry Silaa -Ukonga
Bunnah Kamoli -Segerea
Dougras Masaburi -Kivule
DODOMA
Kenneth Nollo -Bahi
Deogratius John Ndejembi -Chamwino
Livingston Lusinde -Mvumi
Kunti Yusuph Majala -Chemba
Pascal Chinyele -Dodoma Mjini
Antony Mavunde -Mtumba
Ashatu Kijaji -Kondoa vijijini
Mariamu Mzuzuri -Kondoa Mjini
George Malima -Mpwapwa
George Simbachawene -Kibakwe
Isaya Marugumi -Kongwa
KIGOMA
Clayton Chiponda (Baba Levo) -Kigoma mjini
Alan Thomas Mvano -Kakonko
Florance George Samizi -Muhambwe
Prof Joyce Ndalichako -Kasulu Mjini
Edibily Kimnyoma -Kasulu Vijijini
Prof Pius Yanda -Buhigwe
Peter Serukamba -Kigoma Kaskazini
Nuru Kashakari (Kandahali) -Kigoma Kusini
.jpg)
0 Comments