Mabasi 99 ya kampuni ya Mofat Company Limited yatakayo tumika katika Mradi wa mabasi yaendayo kasi (Dart) Gerezani mpaka Mbagala,yamewasili Bandali ya dae salaam.
Idadi hiyo mabasi ni sehemu ya yale 250 yatakayotoa huduma katika njia hiyo,ikiwa ni utekelezaji wa awamu ya pili ya mradi huo uliokamilika takribani miaka miwili iliyopita.
Mabasi hayo yamewasili kutoka nchini Chini China yalikotengenzwa.Taarifa ambazo Mwananchi limedokezwa ni kwamba mabasi hayo yamewasili hivi karibuni bandarini hapo.
Barbara hiyo yenye urefu wa kilometa 20.3 kutoka Mbagala na Gerezani,ilijengwa na kampuni ya Sinohydro kutoka China na ilikabidhiwa kwa Dart tangu Agost 2023.
Katika awamu hiyo kampuni ya kizalendo ya Mofat imepewa makataba wa mika 12 kutoa huduma hiyo na mabasi yake yatatumika nishati ya gasi aslia,Julai 22,2025 mtendaji mkuu wa Dart Dk Athuman Kihamia alisema mabasi hayo yangewasili kabla ya Agosti 15 na yatafuata mengine Julai 20, nilishuhudia mabasi 99 yakipakiwa pale China tayari kuanza safari kuja nchini
.jpg)
0 Comments