Header Ads Widget

MWANAHARAKATI BONIFACE MWANGI AUNYEMELEA URAIS KENYA 2027


Mwanaharakati mashughuli wa hali za binadamu,Boniface Mwangi,ametangaza rasmi nia yake ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa Kenya wa mwaka 2027,akijitosa katika siasa baada y miaka ya harakatoi za uzalendo.

Mwangi alitangaza uamuzi wake wa kuingia kugombea urais kwenye sherehe za katiba day zilizofanyika katika Ufungamano House,ambapo alilisisitiza kuwa sasa ni wakati wa kupitisha mabadiliko katika utawala wa Taifa.

Tulikuwa pamoja baada ya maandamano ya Julai tukagundua kwamba hatuwezi kuendelea kuuliza na kuomboleza ni wakati wa kutumia upigaji kura kuanzisha mapinduzi ya amani alisema Mwangi madai yaliyoripotiwa pia na Reuters

Post a Comment

0 Comments