Header Ads Widget

PSG WANATARAJIA OFA KUTOKA KATIKA KLABU MBALIMBALI KWA AJILI DONNARUMMA


PSG wanatarajia ofa kutoka kwa Chelsea,Man u au Inter Millan kwa ajili ya mlinda lango wa Italia.

Newcastle wanajipanga kuwasilisha ofa ya pauni milioni 30 kumnunua mshambuliaji wa Brentford mwenye umri wa miaka 28 kutoka DR Congo Yoane Wissa.New castle wameanza mazungumzo na PSG kuhusu mpango wa kumnunua mshambuliaji wa Ufaransa Randai 26

Man U inataka kumsajili kiungo mkabaji na mlinda lango mpya sasa wamekamilisha kumsaka mshambuliaji wa Slovenia Benjamin 22, kutoka RB Lepzig.

Southamton wanahitaji angalau pauni milioni 50 kwa winga wao wa chini ya miaka 21 wa England Tyler 19, huku Evarton wakitarajia kufanya machakato wa kumpata.

Klabu ya Ufaransa ya Lille inalenga kumnunua kwa mkopo mlinda lango wa Spurs raia Czech Antonin, mchezaji mwenye umri wa miaka 22 yuko kwenye rada iwapo mlinda mlango chaguo la kwanza,mfaransa Lucas Chevalier 23 atajiunga na PSG.

 

Post a Comment

0 Comments