Tanzania imehitimisha safari yake kwenye mashindano ya CHAN 2024 baada ya kupoteza mechi yao ya Agosti 22,2025 dhidi ya Morocco wakiwa katika uwanja wa nyumbani na kushindwa kuoita nafasi inayofuata.Licha ya juhudi kubwa za wachezaji na benchi la ufundi, matokeo hayakuwa uapande Stars na kuwalazimu kuga michuano hiyo mapema kuliko matarajio ya mashabiki wengi.
Kocha wa kikosi hicho amekiri kuwa changamoto za maandalizi na ufanisi wa kikosi vilichangia kwa kiasi kikubwa kushindwa kutimiza malengo. Hata hivyo ameahidi kuwa kikosi hicho kitarudi imara zaidi katika mashindano yajayo.
CHAN 2024 imekuwa fundisho kubwa kwa Taifa Stars na nafasi ya kujifunza kwa ajili ya michuano mikubwa ijayo.
.jpg)
0 Comments