Katika juhudi za kuhamasisha matumizi ya nishati safi na gharama nafuu ya kupikia,serikali ya Tanzania imeagiza TANESCO kuanza kukopesha majiko ya umeme kwa wateja wapya.
Mpango uanotarajiwa kutumika kwa mfumo wa ''on-bill financing'' utawezesha wananchi kupata majiko kwa urahisi na kulipa kidog kidogo kupitia bili yao ya umeme.
Dkt. Doto Biteko ametoa mfano kwamba kupikia mlo moja kwa ueme haizidi shil. 352,ikilinganishwa na matumizi ya kuni kiasi cha shil. 200 na zaidi.
Wateja wa TANESCO wanahimizwa pia kuwa mabalozi wa matumizi ya nishati safi katika jamiizao.

0 Comments