Katika mkutano ulio wahi kuwa Bukombe, mkoani Geita,Serikali na EACOP walianzisha rasmi ''Mpango wa uwezeshaji wa vijana(YEE)'' kwa kusisitiza kwamba vijana 12,000 hasa kutokea mikoa hiyo watapata fursa ya ujihudumia kupitia ujuzi elimu na rasilimali za kifedha katika muda wa miaka miwili ijayo.
Mradi huu unafata sera ya ushirikishwaji wa jamii (CSR) ya EACOP na serikali tayari imewekeza sh. 1.125 trilioni kama sehemu ya dhamira yake ya maendeleo.Mradi unatarajiwa kukamilika julai 2026 na tayari watekerezaji wameajiri vijana 170,kuwasaidia 110 kuvuka shule na kutoka mafunzo kwa 238.
Ni fursa pekee inayobadilisha marudio kuwezesha vijana kuwa watu wenye mchango kwenye maendeleo ya nchi zao.

0 Comments