Timu ya soka ya Tanzania,Taifa stars,imeandika historia mpya katika ulimwengu wa soka Barani Afrika leo na kufudhu hatua ya mtoano Robo fainali ya CHAN kwa mara ya kwanza.
Mafanikio haya yametoka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Madagascar,uliopatikana leo, Agosti 9,2025 kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa alimaarufu kama HATOKI MTU,
Ushindi huu kwa Tanzania ni watatu mfulululizo kwa Tanzania,kwa matokeo haya yanaifanya Tanzania ifikishe pointi 9 na hivyo kuongoza group B
.jpg)
0 Comments