Header Ads Widget

ZITTO AONGOZA KULA ZA MAONI KIGOMA MJINI


Kiongozi mstaafu wa ACT wazalendo Zitto Kabwe ameibuka kidedea katika mchakatoi wa kura za maoni za kuwania Jimbo la Kigoma Mjini uliofanyika jana Jumanne Agosti 12,2025.

Katika mchakato huo uliofanyika mkaoni Kigoma Zitto amabye ni mjumbe wa kamati kuu ya ACT wazalendo alipata kula 223 dhidi ya 37 alizopata Nondo ambaye ni mwenyekiti wa Ngome ya vijana ya chama hicho.Jumla ya kura zilizopigwa zilikuwa 269 kati ya hizo nne ziliharibika.

Kwa matokeo hayo Zitto ambaye ni mbunge wa zamani wa jimbo hilo,anasubiri kupendekezwa kamati kuu ya chama hicho,ili kuchukua fomu za uteuzi zitakazoanza kutolewa kesho Alhamisi Agosti 14,2025 na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)

 

Post a Comment

0 Comments